Sokosupa Logo
Sokosupa
Dar es Salaam, Kigamboni, tokea masaa 11

Kiwanja

TZS 16,758,000

Nauza Kiwanja kipo maeneo ya Buyuni,Wilaya ya Kigamboni ✓Kiwanja kina ukubwa wa Sqm 1197 ✓Kina Hati ya wizara ya Ardhi tayari ✓umbali kutoka Barabara kuu ni MITA 100 ✓Kiwanja kipo karibu na Beach(Indian Ocean) ✓Kiwanja hakina madeni ya aina yoyote ile hivyo Hakidaiwi ✓Huduma zote za kijamii kama maji ,hospital,shule ,umeme, Barabara n.k zote zipo ✓Kipo Eneo zuri sana #Bei ni Sqm moja kwa sh 14,000 Epuka matapeli ,Mimi ndo muuzaji husika karibu uwekeze kwenye Ardhi

Zungumza na muuzaji

Yasir
Yasir
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA