Sokosupa Logo

Bei na Vifurushi

Chagua kifurushi sahihi kuboresha mauzo yako.

Recommended

PREMIUM MEMBESHIP

Ukilipia kifurushi hiki, kinakupa uwezo wa kuposti matangazo mwezi mzima bila kikomo.

TZS 0 / 1 month
  • 100

Popular

PROFILE VISIT

Mteja anapofungua tangazo lako, ataelekezwa kwenye akaunti yako ili kutazama matangazo yako yote bila kuonyeshwa matangazo ya watu wengine. Mbali na hayo, tangazo lako litatokea juu katika kurasa za watumiaji ambao hawajalipia.

TZS 5,000 / 1 week
Popular

Boost App au Website/Link

Mteja akibonyeza tangazo lako, ataelekezwa moja kwa moja kwenye link uliyoweka—iwe ni ya app, tovuti, kundi la WhatsApp, au catalog ya bidhaa zako!

TZS 5,000 / 1 week
Best Value

Boost Post Views

Mteja akifungua tangazo lako, atalitazama hapo hapo bila kutoka ndani ya app na anaweza kukutafuta WhatsApp mara moja! Hataona matangazo ya wengine chini ya tangazo lako—ataona ya kwako tu. Zaidi ya hayo, tangazo lako litakaa juu kwenye matangazo ya watumiaji ambao hawajaboost!

TZS 5,000 / 1 week
Recommended

Whatsapp Message

Mteja akibonyeza tangazo lako, anaelekezwa moja kwa moja kwenye WhatsApp yako na mnaanza kuchati hapo hapo!

TZS 8,000 / 1 week