Sokosupa
Arusha, Arusha kaloleni,
tokea siku 1
Wateja Wetu Tuna Mapazia Mazuri Na Yenye Muonekano Mzuri Ndani, Matirio Ya Vitambaa Vyetu Ni Quality Na Bei Zetu Ni Rafiki Kabisa .
Kitambaa mita moja 20000 Seti moja ya upana wa mita na nusu 75000 nzito zinakuwa 2 na jepesi 1. Mita 2 seti 85000 mbili nzito na jepesi 1 Kuna matirio nzinto zaidi mita 25000 seti ya mita moja na nusu 95000 Seti ya mita 2 ni 120000 Tuna huduma yakutembelea site na kushauri mteja wetu hii ni bure kuanzia madirisha 5. Tunatuma mizigo kwa uaminifu wa hali ya juu popote ulipo mzigo utakufikia . Tuko Arusha maeneo ya Cafe laazizi ya zamani
Zungumza na muuzaji
+255746959705
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA
Matangazo mengine
6
This Winter Season Do Not Stop Visiting Us At Our Shop And Get Yourself Duvets.
Arusha, Arusha kaloleni
6
_Mapazia_Arusha. Karibu Wateja Kwa Huduma Nzuri Za Mapazia.
Arusha, Arusha kaloleni
4
Pazia Nzuri
Arusha, Arusha kaloleni
8
Karibuni
Arusha, Arusha kaloleni
2
Aribuni Sana Wateja Wetu
Arusha, Arusha kaloleni
Inapakia...