Upgrade Ofisi Basi Fikiria Kwanza Kuhusu Hii Monitor π₯
TZS 1,699,000
KAMA UNATAKA KU-UPGRADE OFISI BASI FIKIRIA KWANZA KUHUSU HII MONITOR π₯ Maana Ina Features Nyingi za kukufanya ujisikie upo ofisini na kila kitu kinachokuzunguka kipo kwa ajili ya kukuongezea comfotability na uzalishaji. π Maana 34" Ultrawide Display itakupa Nafasi kubwa ya kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja bila shida yeyote....Unaweza hata kufungua windows 3 na kuzifanyia kazi. π 4k Resolution (3440 Γ 1440 WQHD resolution) itakusaidia Maandishi na picha vinaonekane sharp zaidi. π 100Hz refresh rate itakupa Smooth experience, kuanzia Scrolling, Cursor movement na animations. π Ergonomic Stand kwa ajili ya kurahisisha Monitor adjustment, Utaiweka Monitor vile unataka ikae ili uzidi kua comfotable.....na uzidishe uzalishaji. π Eye Ease / Blue-Light Filtering Inasaidia kupunguza eye strain ukiitumia kwa muda mrefu bila kuharibu sana accuracy ya colors. π 5MP Poly Studio Camera best kabisa kwa Video calls......Video zinakua clear zaidi na ni nzuri kwa Zoom, Teams, Google Meet na meetings za kazi. π AI Noise Reduction Inapunguza background noise ili sauti yako isikike vizuri wakati wa conference calls. π HDMI + DisplayPort + USB-C + USB-A inakupa uwezekano wa kuunganisha Laptop, Desktop na vifaa vingine kwa urahisi zaidi.. π Curved Ultrawide Screen Design inafanya screen kubwa iwe comfortable kuitazama na kuongeza immersion wakati wa kazi. HP WAMEZINGATIA MAMBO YOTE YATAKAYOFANYA WEWE UKAE KIFALME KWENYE OFISI YAKO NA KUFANYA MAAJABU KWENYE UZALISHAJI
Zungumza na muuzaji
Matangazo mengine
TZS 400,000
π Hp 27" Inches Frameless Monitor
π₯οΈπ₯ Dell Monitor β Mwonekano Safi, Kazi Bora! π₯π₯οΈ
TZS 1,800,000
π₯οΈ Hp Elitedesk 800 G5 All-In-One Desktop
Monitor Dell Fremless 24Inch
Hp All In One Desktop Computer ππΏπ₯
TZS 375,000
Hp Prodesk/Elitedesk Desktop π₯π₯π₯
TZS 1,150,000
π»π₯οΈ Hp Elitedesk 800 G4 Desktop Mini + 24" Monitor
TZS 350,000
π₯ Hp Z23N Professional Monitor β 23 Inch π₯
TZS 1,749,000
Lenovo Curved πͺ Monitor Size 34 Nches
TZS 1,250,000