Hp Zbook
ANOTHER BEAST IN OUR STORE......HP ZBOOK FIREFLY MOBILE WORKSTATION π₯π₯π₯ Yaani Kiwanda ambacho unaweza Kutembea nacho π Sasa wale watu wa Heavy Duty Tasks....... Chukueni Details hapa π π Inakuja na Intel Core i7 11th Gen ambayo ni the Best kwenye Kazi Nzito π Inakuja na 16GB DDR4 RAM ambayo itakuruhusu kuRun Programs nzito bila changamoto π Inakuja na 512GB SSD Storage ambayo itakupa uhakika wa kuhifadhi Data zako bila usumbufu. π Graphics Card ya NVIDIA T500 4GB na Intel Iris Xe zote zipo humu kwa ajili ya kukhakikisha Kazi zote zinazohitaji GPU kubwa zinaenda. π Pia inakuja na 15.6β Display size ambayo inakupa Uono mkubwa na nafasi kubwa ya kufanyia kazi. π Backlit Keyboard ipo kwa ajili ya kukuwezesha kufanya kazi hata kwenye mwanga hafifu. π HDMI, 2Γ USB-C & 2Γ USB 3.0 ambayo itakusaidia kuUnganisha monitor na vifaa vingine kwa urahisi. π Kama unatumia sana internet basi hii inakuja na Wi-Fi & Bluetooth Internet kwa ajili ya Connection. π―INAFAA ZAIDI KWA MATUMIZI KAMA; π Photoshop, Illustrator & CorelDRAW. π AutoCAD 2D na 3D nyepesi. π Revit kwa miradi midogo hadi ya kati. π Video editing π Programming
Zungumza na muuzaji
Matangazo mengine
TZS 455,000
π» Dell Inspiron 5580 Gaming Pcβ Core I7 8Th Gen π₯ ((0698510128)) π Processor: Intel Core I7 β 8Th Generation
**New Arrivals ** Laptop Hp Elitebook 845 G8 Ryzen 5 Pro 16Gb 256Ssd
Hp
TZS 385,000
Hp Probook