Sokosupa Logo
Sokosupa
Morogoro, KILAKALA, tokea wiki 1

Viwanja Vizuri Vinauzwa

TZS 15,000,000

Anza kumiliki na nusu ya Bei yaani 70% na inayobaki utakamilisha ndani ya Miezi mitatu tuu. KWANINI UICHAGUE KITUNGWA BLOCK M Eneo hili linakupa fursa nyingi za kiuwekezaji iwe ni kwaajili ya makazi au Biashara, kutokana na kuwa na Miundombinu ya kisasa pamoja na ukaribu wake na Mjini Morogoro >>>Kumbuka Kitungwa ni KM 10 tuu kutoka Mjini kati. >>> Lakini pia ni KM 1 kutoka Dar es Salaam Road. Kumbuka Unaweza kulipa kwa awamu kwa muda wa miezi 3. ニニニ UTARATIBU WA KUTEMBELEA SITE: Kila siku kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 9:30 JIONI Usafiri wa kwenda site zetu zote ni BURE kabisa! WASILIANA NASI: 0689712327 0679187316 Tembelea ofisi zetu: Morogoro Mjini,

Zungumza na muuzaji

255679187316
255679187316
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA