Kununua Na Kuuza Majina Ya Tovuti
TZS 23,000
Achana na Forex kama inakupa stress. Kwa mwenye uthubutu wa kujaribu, nimekuandalia Domain Flipping yani kununua na kuuza majina ya tovuti kama Kahawa.com au nyumba.net .org au .co unanunua alafu unayauza kwenye mnada. Sihitaji kuongea sana kukushawishi. Soma kwanza, halafu usianze kununua domains njoo WhatsApp nikupike kidogo, kisha utaamua mwenyewe wahi hii fursa kabla haija trend Kitabu ni Soft Copy kinapatikana kwenye Link au kwenye Bio ya Instagram @Kelvinklean_ au WhatsApp. 0705565115 Bei inajumuisha kitabu + mafunzo kupitia WhatsApp video call. nauza kwa bei sababu nauhakika na fursa hii
Zungumza na muuzaji