Sokosupa Logo
Sokosupa
Iringa, KIHESA, tokea wiki 1

Nyumba Nzuri Sanaa Inapangishwa

TZS 200,000

MUUNDO _Vyumba viwili sebule na jiko _chumba kimoja self _public toilet _Nyumba ina jiko kubwa la kisasa _Nyumba inajitegemea umeme na maji HUDUMA _Nyumba ipo eneo linalofikika kwa urahisi _Nyumba ipo karibu kabisa na barabara _Nyumba ina umeme na maji vinapatikana muda wote 24 hours _Nyumba ipo eneo lenye usalama na utulivu

Zungumza na muuzaji

255764246455
255764246455
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA