Palmers Moisturizing Body Oil Available
TZS 30,000
🌺Haya ni mafuta mazuri yeneye vitamin E na mepesi yanayo saidia na kufanya ngozi yako kuwa laini na nyororo. 🌺Ngozi ina kuwa na unyevu wa kutosha. 🌺Inasaidia kuclear ngozi kwa kuondoa madoa, alama na kuifanya ngozi kuwa na rangi moja. 🌺Kama unaishi sehemu zenye baridi na upepo basi hii kitu ni nzuri sana itasaidia ngozi yako isipasuke au kukauka. 🌺Kama ngozi yako kavu sana changanya kidogo kwenye maji yakuogea na ukimaliza kuoga unapakaa lotion au cream yako pamoja ma mafuta yako. 🌺Unaweza changanya kwenye lotion au cream yako ili ngozi ipate unyevu zaidi.
Zungumza na muuzaji
Matangazo mengine
TZS 25,000
Originals Moisturizing Body Gloss Available
TZS 20,000
Organals Cocoa & Shea Butter Moisturizing Body Cream Available
TZS 50,000
Palmer’s Brazilian Coco Combo 😍🤎
TZS 35,000
Bio-Oil Skincare Oil
Palmers Body Oil
Ngozi Laini, Yenye Unyevu Na Harufu Ya Kuvutia! 😍💖
TZS 20,000
Vitamin Serum
Glass Skin Moisturizer For Face And Body
TZS 15,000
Kwa Rangi Nzuri Na Ngozi Nzororo