Sokosupa Logo
Sokosupa
Tanga, KICHANGANI CITY, tokea wiki 1

Viwanja Tanga

Karibu kwenye mradi wetu mpya wa viwanja wa KICHANGANI CITY, uliopo Tanga Mjini. Mahali: Kata ya Maweni, Mtaa wa Kichangani. Viwanja vinapatikana katika eneo lenye ukuaji wa haraka, karibu na Uwanja Mpya wa Mpira wa Klabu ya Coastal Union (Wagosi wa Kaya) pamoja na Bohari Kuu ya Dawa, hivyo ni fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji. BEI: * TSh 10,000 kwa SQM - Malipo ya Cash * TSh 12,000 kwa SQM- Malipo ya Installment (hadi miezi 10) Huduma Zinazopatikana: Maji, Umeme na Barabara kuu ya kuelekea Tanga Mjini ipo karibu na viwanja. Wekeza leo KICHANGANI CITY na ujihakikishie kiwanja katika eneo lenye thamani inayokua kila siku.

Zungumza na muuzaji

255719000010
255719000010
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA