Sokosupa Logo
Sokosupa
Tanga, TANGA, tokea wiki 1

Viwanja Tanga

Wekeza leo katika eneo lenye ukuaji wa kasi mpakani mwa Tanzania na Kenya! Viwanja vya Horohoro vipo katika eneo lenye fursa kubwa za biashara, makazi na uwekezaji kutokana na maendeleo ya miundombinu na shughuli za mpaka. BEI MAALUM 💰 TSh 2,500 kwa SQM – Cash 💰 TSh 3,000 kwa SQM – Installment SIFA ZA VIWANJA ✅ Ukubwa kuanzia SQM 447 na kuendelea ✅ KM 60 kutoka Tanga Mjini ✅ Mita 200 tu kutoka Barabara Kuu (Main Road) ✅ Huduma za Umeme, Maji na Barabara zinapatikana Miliki kiwanja leo katika eneo lenye thamani inayoongezeka kila siku. Hii ni fursa bora kwa makazi, biashara na uwekezaji wa baadaye.

Zungumza na muuzaji

255719000010
255719000010
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA