Sokosupa Logo
Sokosupa
Tanga, TANGA, tokea wiki 1

Viwanja Tanga

Njoo ununue kiwanja kwetu. Sisi ndjo mabingwa wa kuuza viwanja mkoani Tanga na Tanzania. Bei zetu ni nafuu sana. Viwanja vimepimwa na kutambuliwa kisheria. BEI: * TSh 10,000 kwa SQM - Malipo ya Cash * TSh 12,000 kwa SQM- Malipo ya Installment (miezi 10) Huduma Zinazopatikana: Maji, Umeme na Barabara kuu ya kuelekea Tanga Mjini ipo karibu na viwanja. Wekeza leo KICHANGANI CITY na ujihakikishie kiwanja katika eneo lenye thamani inayokua kila siku. TUPIGIE: 0679103315

Zungumza na muuzaji

255719000010
255719000010
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA