Beach Plot Inauzwa
TZS 295,000,000
📍 Mwambani – Tanga 📐 Ukubwa: SQM 5,938 💰 Bei: TSH 295,000,000 🔒 Eneo limezungushiwa fence ✨ Eneo kubwa la beachfront lenye mazingira ya asili na ukaribu wa ufukweni, likiwa na njia za kufikika kuelekea eneo hilo. Picha ya satellite inaonyesha eneo likiwa katika mazingira yenye makazi na shughuli za ujenzi jirani, huku upande wa bahari ukiwa karibu kabisa. 💡 Kwa ukubwa wa SQM 5,938, linaweza kuendelezwa kwa miradi kama: 🏨 Beach Resort / Hotel 🏡 Beach Villas 🍽️ Beach Restaurant & Café 🏊 Swimming Pool & Beach Lounge 🎉 Event & Wedding Venue 🌴 Private Beach Retreat 🏘️ Holiday Apartments 🏄 Sehemu ya beach recreation & entertainment 🔥 Fursa ya kuwekeza kwenye eneo kubwa la ufukweni Mwambani, Tanga. Service Charge: 30,000 📞 0719 222 528 MGHENI ESTATE – Bora kwenye Real Estate
Zungumza na muuzaji