Sokosupa Logo
Sokosupa
Dar es Salaam, mwenge, tokea wiki 2

Karibuni Pochi Za Utamaduni

Karibu ugundue uzuri wa vitu vya asili. Tunakuleta kazi za mikono zenye ubora na ubunifu wa kipekee – kuanzia mashuka ya Kimasai, viatu, mikeka, vikapu, mabegi, mapochi, hadi necklace, bracelet, hereni,notebook, penholder na keyholder. Kila bidhaa imetengenezwa kwa ustadi, ikibeba utamaduni, uzuri na ubora wa hali ya juu. Ni zaidi ya bidhaa… ni hadithi, ni urithi, ni style yako ya kipekee. 📍Perfect kwa zawadi, mapambo au matumizi ya kila siku.

Zungumza na muuzaji

+255612463635
+255612463635
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA