Microwave Oven
TZS 380,000
RAHISISHA MAISHA JIKONI NA MIDEA INVERTER QUATTRO MICROWAVE! โกโจ โSema kwaheri maandalizi ya chakula yanayochukua muda mrefu! Jipatie Midea Inverter Quattro Microwave yenye teknolojia ya kisasa kabisa inayopatikana sasa hivi hapa Littlemore Tabora. โUwezo na Kazi Inazofanya (Key Functions): 1. โโก Teknolojia ya Inverter Quattro: Inapasha na kupika chakula kwa haraka na kwa usawa (evenly) huku ikikuokolea matumizi makubwa ya umeme. 2. โ๐ Kipengele cha Grill & Combi: Zaidi ya kupasha moto tu, unaweza kuchoma nyama, kuku, au samaki na kuipatia muonekano mkavu na mtamu (crispy)! 3. โ๐ง Express Defrosting (Kuyeyusha Barafuni): Inayeyusha nyama au chakula kilichoganda kutoka kwenye freezer kwa dakika chache bila kuharibu ladha wala virutubisho. 4. โ๐ฒ Auto Menu (Pika kwa Kitufe Kimoja): Ina menyu zilizowekwa tayari kwa ajili ya kupika au kupasha Popcorn, Pizza, Viazi, Supu, Mboga mboga, na Maziwa kwa urahisi sana! 5. โโฒ๏ธ Digital Touch Screen & Timer: Skrini ya kidijitali iliyo rahisi kutumia na kuweka muda sahihi wa kupika au kupasha.
Zungumza na muuzaji
Matangazo mengine
Microwave Oven
Microwave
Classic Friji
TZS 100,000
Electric Coffee Maker Von Ujazo 1.8Lโ
Kodtec Microwave
TZS 25,000
Machine Ya Kupashia Mkate
TZS 160,000
Roch Microwave 20 Litre Black
TZS 235,000
Back In Stock Microwave ๐ข*
Wahi Sasa! ๐ฅ