Sokosupa Logo
Sokosupa
Iringa, Kihesa bwawani, tokea wiki 1

Nyumba Nzuri Sanaa Zinapangishwa

MUUNDO _vyumba vinne vyote self sebule dinng jiko na store _Nyumba ina jiko kubwa la kisasa lenye makabati _KILA CHUMBA kina makabati ya nguo _kila chumba kima maji moto _Nyumba zipo ndani ya fance _Nyumba zina electricity fance _Nyumba zinajitegemea umeme na maji HUDUMA _Nyumba zipo eneo linalofikika kwa urahisi _Nyumba zipo eneo lenye usalama na utulivu _Nyumba zina umeme na maji vinapatikana muda wote 24 hours _Nyumba zipo mazingira mazuri na karibu na barabara _Nyumba zina electricity fance kwaajili ya usalama

Zungumza na muuzaji

255764246455
255764246455
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA