Sokosupa Logo
Sokosupa
Mtwara, 📍Manispaa ya Mtwara Mikindani, tokea wiki 1

Shule Ya Sekondari Aquinas – Mtwara

Shule ya Sekondari Aquinas Mtwara ni miongoni mwa shule bora kitaaluma katika mkoa wa Mtwara. ✅ Mwaka 2023: Nafasi ya 1 Manispaa ya Mtwara Mikindani ✅ Mwaka 2024: Nafasi ya 2 Kimkoa MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA – KIDATO CHA NNE 📘 Mwaka 2023: GPA 1.9556 📘 Mwaka 2024: GPA 1.7596 TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA 📚 Kwa masomo ya Pre Form One 🏫 Shule ina bweni – inawapokea wanafunzi wa kuishi shuleni UFADHILI WA MASOMO Shule inatoa ufadhili kwa wasichana waliopata ufaulu mzuri Kidato cha Nne kwa kozi zifuatazo: 🔬 PCB | CBG | PCM | HKL | HGL | HGK

Zungumza na muuzaji

+255756962400
+255756962400
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA