Shule Ya Sekondari Aquinas – Mtwara
Shule ya Sekondari Aquinas Mtwara ni miongoni mwa shule bora kitaaluma katika mkoa wa Mtwara. ✅ Mwaka 2023: Nafasi ya 1 Manispaa ya Mtwara Mikindani ✅ Mwaka 2024: Nafasi ya 2 Kimkoa MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA – KIDATO CHA NNE 📘 Mwaka 2023: GPA 1.9556 📘 Mwaka 2024: GPA 1.7596 TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA 📚 Kwa masomo ya Pre Form One 🏫 Shule ina bweni – inawapokea wanafunzi wa kuishi shuleni UFADHILI WA MASOMO Shule inatoa ufadhili kwa wasichana waliopata ufaulu mzuri Kidato cha Nne kwa kozi zifuatazo: 🔬 PCB | CBG | PCM | HKL | HGL | HGK MTAALA WA KIPEKEE Mbali na masomo ya kawaida, mwanafunzi pia: 🗣️ Atafundishwa lugha ya alama 🧠 Atafundishwa stadi za maisha 💬 Atapewa ushauri na nasaha
Zungumza na muuzaji
Matangazo mengine
Arusha Modern School
Arusha Modern School
Kilimanjaro School Arusha
Martin Luther School Dodoma
Arusha Modern School
Arusha Modern School
Kilimanjaro School Arusha
Kilimanjaro School Arusha
Kilimanjaro School Arusha