Sokosupa Logo
Sokosupa
Njombe, mjimwema Njombe mjini, tokea wiki 1

Agreement_Hotel

Unapopanga tukio lako kubwa na la hadhiโ€ฆ sisi ndio chaguo sahihi! โœจ Iwe ni mkutano wa kibiashara (Business Meeting), tukio la taasisi, semina au sherehe maalum โ€” @agreement_hotel Hall tupo tayari kukuhudumia kwa ubora wa hali ya juu na ufanisi wa kipekee. ๐Ÿ›๏ธ Tunakupa: โœ”๏ธ Kumbi za kisasa zenye vifaa vyote muhimu โœ”๏ธ Mazingira tulivu na ya kuvutia โœ”๏ธ Huduma bora zinazolifanya tukio lako liwe la kukumbukwa ๐Ÿ“Š Uwezo wa kumbi zetu: Watu 1200 Watu 500 Watu 400 Watu 250 ๐Ÿ’ผ Tunahakikisha kila kitu kinakwenda sawa โ€” wewe unakuja kufurahia tukio lako! ๐Ÿ“ Tunapatikana Mjimwema, Njombe Mjini ๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa kwa ajili ya booking

Zungumza na muuzaji

255755019996
255755019996
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA

Matangazo mengine

Inapakia...