Sokosupa Logo
Sokosupa
Njombe, Njombe mjini, tokea wiki 1

Sweater Collection Imefika!

Baridi imefika, na sisi tumekuletea sweta zenye style ya kisasa, quality ya hali ya juu, na comfort ya kipekee. 😍 ✔️ Outfit za wanawake na wanaume ✔️ Material laini na imara ✔️ Fashion inayokuvutia popote unapokwenda ✔️ Bei nzuri na quality ambayo utaipenda Usikubali kuachwa nyuma msimu huu wa baridi. Chagua sweta inayokufaa na uonekane nadhifu kila siku. 🤍 📍 Karibu dukani kwetu au tutumie DM kuagiza. 📦 Tunafanya delivery.

Zungumza na muuzaji

0746636118
0746636118
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA