Sokosupa Logo
Sokosupa
Tanga, ๐Ÿ“Tanga barabara ya 6, tokea wiki 2

Bukhari Restaurant Tanga

BUKHARI RESTAURANT TANGA Tunapenda kuwataarifu wateja wetu wote kuwa Tumefanya Mabadiliko rasmi Ya Bei za VYAKULA Vyetu na hizi ndizo Bei Zetu mpya ambazo zitaanza kutumika Siku Ya Leo. Tunawaomba wateja wetu wapokee mabadiliko haya kwa uelewa na waendelee kutuunga mkono kama kawaida. Tunaendelea kujitahidi kuwapatia Vyakula vyenye ubora, ladha ya kipekee na huduma bora kwa bei zinazolingana na hali ya soko. ๐Ÿ“ Tafadhali pitia orodha ya bei mpya kwenye poster hii ili kujua gharama za kila bidhaa. Asanteni kwa kuendelea kuchagua Bukhari Restaurant Tanga. ๐Ÿ“ž For Order & Delivery: +255 679 404 004 +255 713 560 759

Zungumza na muuzaji

+255679404004
+255679404004
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA

Matangazo mengine

Inapakia...