Sokosupa Logo
Sokosupa
Geita, GEITA, geita Tanzania, tokea wiki 2

Solar Power System

e! wajua kuwa solar power system yaweza kuwa moja ya project inayo ongeza thamani ya miadi yako? kiuhalisia uwekezaji wowote bila kuwa na umeme thamani yake hushuka mara dufu na hata uzalishaji huporomoka au kushindikana kabisa. Hii ni project ya kuzalisha umeme mkubwa wa three phase { 3phase } ambao unaweza endesha mitambo mikubwa ya viwanda vya kati. Solar panels PV 550w 22pcs Hybrid all-in-one high frequency inverter 12kw 3phase output L1, L2, L3. karibu utoe mahitajio yako tufanyie kazi kwa maana ya sizing na uweze kupata umeme wa uhakika kwa mahitaji ya nyumbani na kibiashara kwenye site zak

Zungumza na muuzaji

+255782435626
+255782435626
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA