Sokosupa Logo
Sokosupa
Geita, Nyankumbu - Mataa ya juu, Geita, tokea wiki 2

Hdd Na Ssd

💾 HDD (Hard Disk Drive) ✔ Bei nafuu ✔ Nafasi kubwa ya kuhifadhi mafaili ✔ Inafaa kwa movies, music, documents na matumizi ya kawaida Hasara yake: ❌ Speed yake ni ndogo kidogo ⚡ SSD (Solid State Drive) ✔ Speed kubwa sana ✔ Computer kuwaka haraka ✔ Programu kufunguka fasta ✔ Inapunguza kuganda kwa computer Inafaa kwa: 🎬 Editing 🎧 Studio 💼 Office nzito 🎮 Games Na kazi zinazohitaji speed kubwa

Zungumza na muuzaji

+255764611871
+255764611871
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA