Sokosupa Logo
Sokosupa
Dar es Salaam, πŸ“Sinza africasana, tokea wiki 2

A10 Plus Smart Projector The Best Smart Projector

TZS 50,000

A10 Plus Smart Projector The Best Smart Projector Je, unataka kufurahia filamu, michezo au presentations kwenye screen kubwa bila gharama kubwa? A10 Plus Smart Projector ndiyo suluhisho kamili! Badilisha ukuta wowote kuwa screen kubwa yenye picha ang’avu, wazi na zenye rangi halisi ndani ya sekunde chache. πŸ”₯ Kwa Nini Uchague A10 Plus Smart Projector? βœ… Android Smart System – Pakua na tumia apps unazozipenda kwa urahisi βœ… Wi-Fi Connectivity – Unganisha haraka bila usumbufu wa nyaya nyingi βœ… Wireless Screen Mirroring (Android & iPhone) – Tuma picha na video moja kwa moja kutoka kwenye simu yako βœ… Bluetooth Connectivity Unganisha speaker, earphones na vifaa vingine kwa urahisi βœ… Full HD Supported – Furahia picha zenye ubora wa hali ya juu βœ… Built-in Speaker – Sauti safi bila kuhitaji vifaa vya zaida. βœ… YouTube, Netflix na Apps nyingine moja kwa moja – Burudani isiyo na Kikomo βœ… HDMI & USB Ports – Uwezo mkubwa wa kuunganisha vifaa mbali mbali βœ… Compact na Rahisi Kubeba – Nenda nayo popote unapohitaji βœ… Inafaa kwa Movies, Gaming, Presentations na Teaching – Kifaa kimoja kwa matumizi mengi πŸ’° OFA KUBWA YA MUDA WEEK MOJA TU: TSh 250,000 Tu!πŸ”₯πŸ”₯ Kutoka 350,000/= ❌❌Bei ya mwanzo ⏳ Bei hii ya promosheni inapatikana kwa muda mfupi na kwa idadi ndogo ya vifaa vilivyobaki. Baada ya stok hii kuisha, bei inaweza kurejea kawaida bila taarifa.

Zungumza na muuzaji

+255714335285
+255714335285
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA