Sokosupa Logo
Sokosupa
Dar es Salaam, MAGOMENI KAGERA DSM, tokea wiki 2

Sony Nx200 4K Camera Camcorder

TZS 5,550,000

BEI 5,550,000 MNYUMBULIKO WAKE Sensor Kubwa: 1.0-type Exmor R CMOS kwa picha safi gizani. Ubora wa Juu: Inarekodi video za 4K na Full HD zilizonyooka. Rangi Halisi: Mfumo mpya unaotoa rangi nzuri za ngozi (skin tones). Lens ya G Lens: Ina pembe mpana ya 29mm kwa picha pana. Zoom Kubwa: 12x Optical Zoom na hadi 24x Clear Image Zoom. Pete Tatu za Lens: Udhibiti wa mikono (manual) wa Focus, Zoom, na Iris. Nafasi Mbili za Kadi: Dual SD card slots kwa kurekodi mfululizo au backup. ND Filters za Ndani: Hatua 4 za kuzuia mwanga mkali wa jua. Sauti ya Kitaalamu: Milango miwili ya XLR kwa maiki kubwa. Kioo na Viewfinder: LCD ya inchi 3.5 na EVF ya inchi 0.24.

Zungumza na muuzaji

+255714725477
+255714725477
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA