Sokosupa Logo
Sokosupa
Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Agrey na likoma, tokea wiki 3

Sq Landline Phone

TZS 85,000

πŸ“žπŸ”₯ SQ MOBILE LS 820 β€” SIMU YA MEZANI YENYE DUAL SIM! Unatafuta simu ya mezani kwa ajili ya ofisi, biashara au matumizi ya nyumbani? Hii hapa! πŸ’― βœ… πŸ“± Inatumia SIM card 2 (Dual SIM) βœ… πŸ“Ÿ Ina display ya kuonyesha taarifa βœ… πŸ’¬ Inasaidia kutuma na kupokea SMS βœ… πŸ”Š Ina kipengele cha FM Radio βœ… πŸ“‡ Ina keypad kwa matumizi rahisi βœ… πŸ“‘ Ina antena kwa mawasiliano ya mtandao wa simu 🏒 Inafaa kwa ofisi, maduka, biashara na matumizi ya nyumbani! πŸ’₯ Muundo wa kisasa na matumizi rahisi. πŸ“ž Wasiliana nasi sasa kwa bei na oda yako! πŸ›’ Usikose yako, mkuu! πŸ™

Zungumza na muuzaji

Frank Wambura
Frank Wambura
Angalia matangazo zaidi
Usitume pesa bila kuona bidhaa unayoitaji.
Fanya biashara sehemu za wazi.
Kagua bidhaa, ukisharidhika ndiyo ulipie.
Epuka kulipa advance yoyote au nauli.
SOKOSUPA HATUHUSIKI WALA HATUUZI BIDHAA YOYOTE.
KUA MAKINI UNAPOFANYA BIASHARA AU UNAPONUNUA BIDHAA