Sokosupa
Dar es Salaam, Mikocheni,
tokea sekunde 0
Unga Wa Lishe
TZS 15,000
AFYA BORA INAANZA NA JIKO LAKO🥣✨ Je, unatafuta siri ya kuwa na familia yenye nguvu, changamfu na afya tele? Usihangaike tena! Unga wetu wa JOILA Lishe ni mchanganyiko uliokamilika kwa ajili ya: • Watoto: Kukuza akili na kuimarisha kinga ya mwili. • Wamama Wajawazito/Wanaonyonyesha: Kupata virutubisho muhimu na kuongeza nguvu. • Wazee na Wagonjwa: Kurudisha hamu ya kula na kuimarisha mwili haraka. Viungo vyetu ni asilia 100%:oats,Mtama mweupe na mwekundu,Ulezi,uwele,mchele wa brown mdalasini,iliki,pamoja na, Karanga za wallnuts na macademia.
Zungumza na muuzaji
Beatrice Simon
Angalia matangazo zaidi
Hakikisha unapokea bidhaa yako kwanza
fanya biashara sehemu ya wazi
kagua kwanza ndio ulipie baada ya kuridhika
sokosupa hatuhusiki na biashara yoyote zaidi ya kuwakutanisha muuzaji na mnunuzi tu
fanya biashara sehemu ya wazi
kagua kwanza ndio ulipie baada ya kuridhika
sokosupa hatuhusiki na biashara yoyote zaidi ya kuwakutanisha muuzaji na mnunuzi tu